Mpango
wa elimu bure wafanikiwa kwa asilimia 100, Mwakyembe kumbana Makonda
maswali 9, Wasomi na wanasiasa waikosoa Chadema.
Kamanda Sirro awataka watuhumiwa wa madawa ya kulevya wajisalimishe,
Uchaguzi EALA wavuruga Ukawa, CCM na Msajili. Pata kwa undani yaliyojiri
katika magazeti ya leo hapa.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment