Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amefanya
mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri ambapo sehemu ya mabadiliko
hayo ni kumteua Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo… na
taarifa kamili ndio hii hapa chini kutoka IKULU.
Aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ameandika kupitia account yake ya
Twitter ‘Ndugu zangu naomba TUTULIE! LEO mchana nitakutana na
Wanahabari na tutalizungumza hili. Nitawaambia saa na mahali, kwasasa
naomba TUTULIE!’
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.