ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 4, 2016

Gizzy Miller ft Shourtie - Good Vibes (Official Music Video)

Hii ni video ya kwanza kutoka kwa msanii anaefahamika kwa jina la Gizzy Miller akiwa amemshirikisha mwanadada anaefahamika kwa jina la Shourtie ambae makazi yake ni Nairobi kenya, Nyimbo inaitwa Good vibes, ikiwa audio imetayarishiwa nchini kenya chini ya producer Dr.B na Laboh-Mi, Video imetayarishwa na kuongozwa na director Kenny ukiyz.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.