ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 4, 2016

DEBE NA JEMBE NDANI YA KIPINDI CHA DRIVE MIX JIONI HII.

Nini tatizo, nani chanzo na pabovu ni wapi??? Kabla ya kuajiriwa, vijana wengi hutumia nguvu nyingi kutafuta ajira na wakipata wanabweteka ata ajira yenyewe hawaitendei haki.

 Mfano wahudumu mahotelini, wale wa mapokezi na maeneo mengine mbalimbali. Ungana na wahenga wa mwendo kasi @mbabavc @harith_jaha na @chrissthedj katika Dodoso la Drive mix ya 93.7 Jembe fm Mwanza kuanzia saa kumi alasiri mpaka saa moja kamili jioni leo hii. 

Usisahau kama #debenajembe inaendelea katika barabara za town ikikatiza mitaa mbalimbali kama Nyegezi kijiweni, mkuyuni mpaka Mabatini Igoma na hata kule Kitangiri, Bwiru na maeneo kibao tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.