ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 12, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA SWALA YA IDDI EL HAJJ VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika na waumini wengine wa kiislam katika swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke Dar es Salaam leo asubuhi.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake katika swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke Dar es Salaam leo asubuhi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na waumini wengine wa kiislam wakisikiliza maswaidha wakati wa swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke Dar es Salaam leo asubuhi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.