Airtel na VETA imeendelea kutoa elimu kwa vijana na wakazi wa Dar katika maonyesho ya sabasaba ili kuhakikisha Taarifa taarifa muhimu kuhusu mafunzo ya ufundi kwa njia ya simu zinawafikia watanzania wengi na kuwanufaisha vijana nchini kujisomea na kuongeza ujuzi
Mpaka sasa zaidi ya vijana 700 mkoani Dar Es saalam wameshajiandikisha na Kati yao wameshaanza kusoma kozi mbalimbali.
Kwa maelezo zaidi kuhusu VSOMO tuandikie kupitia airtelfursa@tz.airtel.com
> Mkuu wa Chuo cha Ufundi Veta Kilichopo Kipawa Jijini Dar es salaam,Mhandisi Lucius Lutenganya akitoa maelezo kwa waliotembelea banda la VETA juu ya mpango mpya wa kupata masomo ya ufundi kupitia simu zao za mikononi ujulikanayo kama VSOMO unaotolewa na VETA kwa kushirikiana na Airtel kwenye Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.