Wananchi wa Belarus sasa wamekuwa wakikaa uchi katika ofisi zao baada ya Rais wa nchi hiyo kuwataka kuvua nguo zao na kufanya kazi.
Ukitumia hastag #GetUndressedAndGoToWork utaona picha karibuni maeneo yote ya nchi ambao watu wanapiga picha za utupu na kuziweka katika mtandao ya kijamii.
Rais wa nchi hiyo aliyasema hayo katika mkutano wa tano wa chama cha Belarusian People’s Congress. Mbali na kauli hiyo, Rais huyo alizungumzia umuhimu wa teknolojia katika kuinua uchumi wa nchi hiyo ambayo upo katika hali mbaya.
Kwa takribani muongo mmoja sasa.
Kwa takribani muongo mmoja sasa.
Hapa chini ni baadhi ya picha za raia hao wa Belarus wakiwa utupu kazini.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.