CUF yapata naibu meya Dar. Lugumi balaa. Ofisa utumishi Mwanga atumbuliwa jipu na RC. Wagonjwa wa sickle cell hatarini Muhimbili.
Chadema: Kabwe ametolewa kafara kuficha maovu. 105 kupelekwa ofisi za balozi nje ya nchi. Makonda awatangazia kiama Ma-DC Dar.
Dovutwa: JPM usilegeze msimamo kwa MCC. Majambazi yaua wanne Tanga. Milioni 50 kila kijiji kuanzaa mwaka 2016/17. Kasi ya Magufuli yatinga bungeni.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.