Lowassa ushindi 2020 ni lazima, Magufuli ahojiwa utumbuaji majipu, Nyumba 7 na ofisi za CCM zachomwa Pemba. Fuatilia magazeti ya leo. Lowassa ampiga vijembe Magufuli, Utata karatasi za kupigia kura Zanzibar, Vurugu zaibuka Zanzibar, Magufuli ahojiwa juu ya majipu.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment