BOFYA PLAY Hotuba ya kwanza ya Mbunge wa Kwimba Mhe. Mansoor Shanif aliyoitoa mara baada ya kukabidhiwa hati ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Kwimba kwa kipindi kingine cha miaka mitano 2015 - 2020.
Mhe. Mansoor Shanif akionesha hati cha kuchaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Kwimba kwa kipindi kingine cha miaka mitano 2015 - 2020. |
Mhe. Mansoor Shanif akisaini daftari la mahudhurio na risiti ya kutambulika kuwa kakabidhiwa hati ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Kwimba kwa kipindi kingine cha miaka mitano 2015 - 2020. |
Nje ya ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Mhe. Mbunge na picha ya pamoja.
Ndiyo hii. |
Hati yenyewe. PICHA ZOTE NA ZEPHANIA MANDIA WA GSENGO BLOG. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.