Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari na waangalizi wa kimataifa wakati akitangaza matokeo ya awali ya urais Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima
Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.
Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.
Jaji Lubuva akijiandaa kutangaza matokeo hayo ya awali.
Maofisa wa NEC wakiwa kwenye mkutano huo.
Wadau wa siasa wakiwa kwenye mkutano huo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu 0712-727062) |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.