![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi Dorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyo |
![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa FinladDorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyo |
![]() |
| Rais Jakaya Kikwete akitembelea maabara ya majaribio ya kampuni ya kutengeza lifti ya KONE jijini Helsinki, Finland. |
![]() |
| Rais Jakaya Kikwete akitembelea maabara ya majaribio ya kampuni ya kutengeza lifti ya KONE jijini Helsinki, Finland. |
![]() |
| Jk akipokea zawadi ya jezi ya timu ya taifa ya Finland ya basketball |
| JK akitoa zawadi ya mchoro wa Tingatinga kwa viongozi wa kampuni ya KONE |
![]() |
| JK akitembelea bandari ya Helsinki |
| Rais Kikwete akipata mapokezi Rasmi kwa mwenyeji wake Rais wa Finland Mhe Sauli Niinisto |
![]() |
| Rais Kikwete akitoa utambulisho wa safu yake. |
![]() |
| Rais Kikwete akipata mapokezi Rasmi kwa mwenyeji wake Rais wa Finland Mhe Sauli Niinisto |
![]() |
| Rais Kikwete alipata muda wa kuzungumza na kusanyiko huku akiwa na mwenyeji wake Rais wa Finland Mhe Sauli Niinisto |
Tupe maoni yako

0 comments:
Post a Comment