KATIBU wa CCM Mkoa wa Mwanza akiwa safarini kuelekea visiwa vya Kwelu, Ilugwa na kisha Ukara kufanya mikutano yahadhara na wananchi wa maeneo ya huko, Ilugwa na Kwelu havijawahi kufikiwa na kiongozi wa ngazi hiyo na kitaifa tangu uhuru wa taifa hili wa Chama Tawala na Serikali yake , Katibu wa CCM mkoa, Miraji Mtaturu, amethubutu na ameweza apewe ushirikiano wa kurejesha Chama kwenye heshima na kwa wananchi maeneo mengi
Visiwa hivyo vipi Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza, ziara hiyo ni kupita kuangalia na kufanya maandalizi ya atakapopita Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Comred Abdulahaman Kinana, hivi karibuni Mwezi huu kuanzia Juni 22 ikiwemo Wilaya za Sengerema, Misungwi, Kwimba, Magu, Ilemela, Nyamagana na Ukerewe ikiwa ni mchakamchaka wa Lusaka Dola kwa meals 2015/2020
Na huu ndiyo usafiri wetu ikiwa ni pamoja na abiria wengine.
Wachapakazi vijana.
Mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania Peter Fabian chomboni, safari kuelekea visiwani.
Salaam salaam ndani ya chombo
Chombo kinatia nanga.
Hatua kuelekea makazi ya watu, pamoja na ofisi kadhaa za Serikali.
Tupe maoni yako









0 comments:
Post a Comment