ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 2, 2015

HII NDIYO SUPRISE KWA FAMILIA YA WAYNE ROONEY.

Wayne Rooney's instagram picture
A surprise meeting for Wayne Rooney and family in the waters around the Bahamas

Best of social media

Wayne Rooney huwa ana utaratibu wake wa kutundika mitandaoni picha za kumbukumbu alizopiga akiwa na familia yake wakati wa mapumziko. Hali hiyo huja ili kujiliwaza hasa nyakati anapokuwa kambini mbali na familia yake akihisi upweke. Mshambuliaji huyo aliye tegemeo kwa klabu ya Manchester United na timu ya taifa la Uingereza ameposti picha hii kwenye ukurasa wake wa Instagram, pembeni akiangusha ujumbe: "Didn't expect to see pigs in the sea in the Bahamas! Haha" 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.