![]() |
| Aksante sana wana Mwanza kwa kujitokeza. |
![]() |
| Usiku huu pia ulitumika kuitambulisha JJ Band aka Jembe ni Jembe Band ambayo kuanzia sasa itakuwa ikitumbuiza hapa. |
![]() |
| Kiongozi wa JJ Band mbeleeeee.....!! |
![]() |
| Muziki umekolea.....!! |
![]() |
| Lady singer....!! |
![]() |
| Hatariiii....!! |
![]() |
| Kimenuka sasa mwendo ni Kusebenuka...!! |
![]() |
| Hapa ndipo mziki unapikwa...!! |
![]() |
| Hatariii....!!! |
![]() |
| Penye kinu cha muziki 'Super sound master' Oxxy. |
![]() |
| "The area na zile chomeX' Karibu sana hii leo tufungue mazawadi. |
Tupe maoni yako













0 comments:
Post a Comment