![]() |
| Andrew Sekedia (L) akiwa na mtangazaji wa Star Tv Abdalah Tilata katika uwanja wa Airport Mwanza alipowasili leo asubuhi akiwa yeye na wanamuziki wengine wote wa Malaika Band. |
![]() |
| Hawa hapa Malaika Band wakiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Villa Park Mr. Ramma. |
![]() |
| Totoo Ze Bingwa (L) akiwa na mpiga bass wa Malaika Band uwanja wa ndege wa Mwanza walipowasili leo asubuhi. |
![]() |
| The angle. |
Tupe maoni yako






0 comments:
Post a Comment