![]() |
| Birthday Boy Cuthbert Albert G. Sengo katika pozi |
![]() |
| Wwwoooopp!! Leo ni mshumaa wa sita... |
![]() |
| Kata keki tule...kata keki tule" |
![]() |
| Kwasababu ni hivi majuzi tu kaka yake Cuthbert, namzungumzia Cedrick alikuwa naye ana sherehekea Birthday yake basi kuona hivyo mamayao aliwazawadia kwa pamoja game kwaajili ya burudani. |
![]() |
| Yes!! |
![]() |
| Cuthbert akimlisha keki kaka yake Cedrick. |
![]() |
| Cedrick akilishwa keki na mama yake. |
![]() |
| Cedrick akimlisha keki dada yake. |
![]() |
| Cuthbert with his Daddy baada ya kumlisha keki. |
![]() |
| Zawadi aliyozawadiwa from his mom. |
![]() |
| ChiaZzZz!!! |
Tupe maoni yako











0 comments:
Post a Comment