Watoto hawa walikuwa wakitega samaki kwa kutumia ndoano hatimaye wamenasa kuku maji.
Mie katika kijiji cha wavuvi wilayani Nyamikoma Magu mkoani Mwanza.
Michezo ya watoto ufukweni.
Pozi la kurejea toka shambani baba jembe mkononi mama kuni kichwani na mbwa mlinzi.
Wavuvi bado hawajatia utii nyavu zisizo ruhusiwa.
Usafishaji nyavu na uanikaji.
Nyavu anikoni.
Enzi za NCU Bandari hii ilikuwa bize kwa kusafirisha pamba nchi mbalimbali afrika mashariki lakini hii leo eneo hili limegeuka sehemu ya kuanikia dagaa.
NBAA YATANGAZA MATOKEO YA MITIHANI YA MEI, 2025
-
Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu
(NBAA) katika kikao chake cha 198 kilichofanyika chini ya Mwenyekiti wake
CPA. Pro...
kaka pande za wapi hizi
ReplyDeleteNimependwa taswira hizo...
ReplyDelete