Tupe maoni yako
Je, kuna njia yoyote ya Salah na Liverpool kuelewana?
-
Mchezaji wa Liverpool Mohamed Salah aliwashangaza watu wengi Jumamosi jioni
alipodai kuwa uhusiano wake na meneja Arne Slot "ulivunjika"
1 hour ago
ass,aleikum.ndugu wachambuzi mnajitaid kuchabua michezo ila ktk matamshi kidogo mnakosea..majina ya wachezaj,team na mikoa husika mfano bologna yatamkwa bolonya.barca ni basa,na neno calcio ni kacho ina maana ya kituo cha michezo.majina ya kitaliano na kispanish yanawapa taabu jitaidini.
ReplyDelete