Tupe maoni yako
RC DKT BALITDA AWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUTENDA MATENDO MEMA
-
Na Oscar Assenga, TANGA
MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian leo ameungana na Waislamu
mkoani Tanga kushiriki katika ibadaa ya Eid-alfitr iliyofan...
53 minutes ago
Pole kwa ndugu na jamaa ya Kaka Kabago.
ReplyDeleteAsante kwa taarifa Kaka G
Blessings
Nimepokea kwa mshtuko msiba wa mama yetu mama Kabago.
ReplyDeletePoleni sana familia yoote ya kabago.Tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu.Pole sana Philbert kwa msiba.
Sote tulimpenda mama,Mungu kampenda zaidi.Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi.Amina
Naomba Sengo personally nifikishie salam zangu za pole kwa Philbert na nitashukuru sana ukipatia namba yake kupitia email yangu :edondaki@yahoo.com
hao ni watu wangu wa karibu sana mitaa ya kirumba mkuu..plz nisaidie kwa hilo.asante