Tupe maoni yako
FCC Yaazimia Kuunga Mkono Mpango Mkakati wa Miaka Mitano 2026/31
-
Baraza la Wafanyakazi la Nne la Tume ya Ushindani (FCC) limehitimisha kikao
chake cha siku mbili kwa kuazimia kuunga mkono rasimu ya Mpango Mkakati
Mpya wa...
1 hour ago
Pole kwa ndugu na jamaa ya Kaka Kabago.
ReplyDeleteAsante kwa taarifa Kaka G
Blessings
Nimepokea kwa mshtuko msiba wa mama yetu mama Kabago.
ReplyDeletePoleni sana familia yoote ya kabago.Tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu.Pole sana Philbert kwa msiba.
Sote tulimpenda mama,Mungu kampenda zaidi.Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi.Amina
Naomba Sengo personally nifikishie salam zangu za pole kwa Philbert na nitashukuru sana ukipatia namba yake kupitia email yangu :edondaki@yahoo.com
hao ni watu wangu wa karibu sana mitaa ya kirumba mkuu..plz nisaidie kwa hilo.asante