Withrepost @bambinolounge Ladies & Gentlemen, The Weekend 🤪Jumamosi hii @bambinolounge tunakuletea uzinduzi wa Album bora kabisa kutoka kwa @barnabaclassic and the Band, LOVE 💕 SOUNDS DIFFERENT Zitapigwa Clasic Live Music 🎵 🎶 🎼 kuanzia 19:00 Hrs Mpaka Badaee sanaaaaa Come we enjoy #TheBambinoExperience
KIINGILIO
VI-ME 10,000
VIP 25,000
VVIP Meza ya watu 10 ni 500,000/= Na Chupa 1 ya Hennessy
Reservation: 0757-197-865
Imedhaminiwa na
@tanzanitehospital @cloudsfmtz @tigo_tanzania @azania.bank @jembefmtz @uhuruhospital
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.