Ndani ya maonesho ya nane nane 2022 yanayofanyika viwanja vya Nyamhongolo, wilayani Ilemela mkoani Mwanza, kutana na boga aina ya Iyoba lenye uzito wa kilo 40 na urefu wa kimo cha mtoto wa umri wa miaka mitatu.
Mzalishaji ni mkulima Martine N. Kaganda kutoka kijiji cha Kibitilwa wilayani Kwimba.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.