ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, January 17, 2022

BIBI ATAMANI MTOTO NA KIJANA WA MIAKA 24.

 


Bibi Cheryl McGregor mwenye miaka 61, watoto 7 na wajukuu 17 anapanga kupata mtoto mwingine kwa njia mbadala ya kupandikiza (surrogacy pregnacy) na mume wake Quran McCain mwenye miaka 24.


Wawili hao wanasema wamejaribu kutafuta mtoto kwa njia ya kawaida hawajafanikiwa hivyo wanaangalia mwanamke atakayekuwa tayari kufanya hivyo waingie mkataba kwenye suala hilo.


Pia wanasema familia yao inawasapoti kwa kiasi kikubwa katika uamuzi wao huo wa kutaka kuwa na mtoto.


Chery na Quran walikutana mwaka 2012 wakati wanafanyakazi pamoja na wamepishana miaka 37.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.