ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 17, 2019

POLISI ZANZIBAR MABINGWA TENA JEMBE MIRJAM VOLLEYBALL 2019


YESs!! Ni msimu wa pili tena Polisi Zanzibar wanaibuka tena kidedea  kwa kuutetea ubingwa wao.. katika michuano ya Jembe Mirjam Volleyball 2019 
General Manager wa Jembe Ni Jembe na Jembe Media Group,  Mr. Fred Kikoti (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na kocha na wachezaji wa timu Mabingwa michuano ya Jembe Mirjam Volleyball 2019 Polisi Zanzibar walioibuka tena kidedea  kwa kuutetea ubingwa wao 2019. 
Ushindi raha...! hapa ni wachezaji wawili wa timu Mabingwa katika michuano ya Jembe Mirjam Volleyball 2019 Polisi Zanzibar wakisemezana na zawadi zao baada ya kuibuka tena kidedea  kwenye michuano hiyo mwaka huu.. 
Alichokisema hatimaye kimekuwa....! Ally Mohammed ni Kocha wa timu Mabingwa michuano ya Jembe Mirjam Volleyball 2019 Polisi Zanzibar walioibuka tena kidedea  kwa kuutetea ubingwa wao. 
Zile pata shika za fainali kwa michuano ya Jembe Mirjam Volleyball 2019 Kati ya Mara Vs Polisi Zanzibar walioibuka tena kidedea  kwa kuutetea ubingwa wao. 
Shukrani kwa Team zote zilizoshiriki katikaka msimu huu wa 2019. 


Pamoja na yote Shukrani kwa CEO wa Jembe Group @jembenijembe Pamoja na wadau wakubwa @homelife_sports @crater_ngorongoro @olympictanzania @hamisi_kigwangalla @gsengotv @policetanzania @jembefm kwa saport kubwa ya kubeba mashindano haya. πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ TUKUTANE TENA MSIMU WA 2020 



Ila Polisi naninyi mmekula kichuli kibichi hivihivi na ulojolojo murah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ #HuuNiMsimuWaMajembe  

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.