Kocha Wa Yanga Mwinyi Zahera Amefunguka Kuwa Timu Ya Yanga Itaenda Nchini China Kufanya Maandalizi Ya Msimu Ujao Wa Ligi Kuu. Zahera Ameyasema Hayo Baada Ya Kumalizika Kwa Ligi Kuu Kwa Kukubali Kichapo Cha Goli 2-0 Kutoka Kwa Azam Fc.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.