Tuesday, December 04, 2018
HABARI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania Dkt. Tigest Ketsela Mengestu, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo 4/12/2018, kushoto kwa Rais, Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed,anayefuata Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania, Dkt. Tigest Ketsela Mengestu, alipofika Ikulu Zanzibar leo,4/12/2018.kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Mwakilishi wa Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania Dkt. Tigest Ketsela Mengestu, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo,4/12/2018.(Picha na Ikulu)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment