WANANCHI WA KATA YA KITANGIRI WILAYANI ILEMELA MKOANI MWANZA WAMETAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA KWENYE KATA HIYO ILI KUWEZA KUPATA VITAMBULISHO VYA TAIFA ZOEZI AMBALO LINANDESHWA NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA NIDA
AFISA MSAJILI MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA NIDA KWA WILAYA YA ILEMELA ADILI MOSHI AMESEMA ZOEZI HILO LA USAJILI NA UTAMBUZI LINAENDESHWA KWA UADILIFU NA UMAKINI MKUBWA ILI KUHAKISHA KILA MWANANCHI ANAPATA KITABULISHO CHA TAIFA NA KUTAJA CCHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI KATIKA ZOEZI HILO
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.