AGIZO la rais JOHN POMBE MAGUFULI la kumtaka mkuu wa mkoa wa mwanza kushughulikia malalamiko ya mkazi mmoja wa ISAMILO jijini MWANZA, ANNA JOYCE FRANCIS, aliyedai kudhulumiwa kiwanja chake kwa zaidi ya miaka 9 amefika katika eneo la mgogoro na kukutana na wananchi wengi wenye malalamiko kama hayo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.