TRA MKOANI MWANZA IMEKIFUNGIA KITUO CHA TELEVISHENI CHA SAHARA MEDIA
GROUP KWAKUSHINDWA KULIPA KODI YA SEREKALI, AIDHA KITUO HICHO CHA STAR
TV KIMEPEWA SIKU 14 WALIPE DENI HILO LA ZAIDI YA BILIONI NNE.
WANACHAMA 50 ACT Wazalendo LINDI WATIMUKIA CCM.
-
Zaidi ya wanachama 50 kutoka katika chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na
chama Cha mapinduzi ( CCM)
Wanachama hao wakiongozwa na aliyewahi kuwa diwani ...
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.