ANA
UMRI WA MIAKA KUMI NI MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI GEDELI.
AMEPOTEA
SIKU YA ALHAMISITAREHE 29/06/2017 SAA NNE ASUBUHI.
AMETOWEKA
AKIWA AMEVAA SHATI YA DRAFTI RANGI YA DAMU YA MZEE NA SURUALI
YA JINSI YA RANGI YA BLUU NA NDALA ZA YEBOYEBO TUMESHATOA TAARIFA
KATIKA KITUO CHA POLISI NYAKATO NATIONAL RB TUNAYO NA KWA YEYOTE
ATAKAYE MUONA ATOE TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLISI AU KWA
MAWASILIANO SIMU NAMBA: 0755 953223/0756 294028/0757 535482/
0654
864043.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.