Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas, akizungumza na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi kushika nafasi hiyo.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas, akimkabidhi Jarida la Nchi yetu, Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi kushika nafasi hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas akimuonyesha Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa ofisi ya Msajili wa Magazeti wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi kushika nafasi hiyo.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas akimuonyesha Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa ofisi ya Msajili wa Magazeti wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi kushika nafasi hiyo.Picha na Demetrius Njimbwi wa Jeshi la Polisi
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.