Saturday, June 03, 2017
HABARI
Live Updates kupitia 93.7 @jembefm kutoka Butiama maadhimisho ya Siku ya Mazingira yanaendelea hapa kwenye Ukumbi wa Roman Catholic Mwitongo karibu na Familia ya #MwalimuNyerere Waziri @jmakamba2015 ndiye amefungua Rasmi Maadhimisho aya, @mansourjumanne yupo kukujuza kila kinachoendelea
CHINI YA KAULI MBIU #Tanzaniabilamkaainawezekana CC:- @mbabavc @jembenijembe @harith_jaha @mzairebokilo_93.7jembefm @bobwhite_pamba @mkuryamstarabu
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.