Rais Mstaafu Kikwete aliwasili bungeni hapo kama mgeni kwenye kikao hicho.
kwa takribani dakika 10 bunge zima lilisimama na kushangilia ujue wa Rais Mstaafu huyo.
wabunge hao bila kujali itikadi zao za siasa bungeni hapo walimshangilia Mkuu wa nchi huyo Mstaafu.
Hata hivyo bunge hilo limeanza kwa kuapishwa kwa Mama Salma Kikwete mbunge wa kuteuliwa
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.