Mkanda huu wa video unamuonesha
mwandishi Haydar na timu yake wakishuhudia kwa karibu mashambulizi
kadhaa ya makombora ya magaidi wa ISIS wakati wakiwa hewani. Hata hivyo
wameendelea kuripoti katika eneo lililo karibu zaidi na mapigano
magharibi mwa Mosul, licha ya kukumbwa na mashambulizi hayo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.