INATAJWA kuwa asilimia 86 ya wanawake mkoa wa Mwanza licha ya kujibidiisha kila kukicha huku wengine wakiamka alfajiri na mapema kuhaha kwenye ajira zao, hawanufaiki na shughuli zao za uchumi zaidi ya kufanya tu na wakionekana wakifanya kazi lakini ndani yake ni kama kusukuma siku tu. (Kazi bure au kupoteza muda).
MBUNGE WA ILEMELA AMBAYE PIA NI NAIBU WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAKAZI MH.ANGELINA MABULA, NI MMOJA WA WASEMAJI AKIUNGANA NA
YASINI ALLY, MKURUGENZI KIVULINI.
PAMOJA NA SIMPHROSE MAKUNGA.
IMEANDALIWA NA ZEPHANIA MANDIA WA GSENGO BLOG.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.