ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, September 15, 2016

VILAINISHI VYA OIL ZA TOTAL 4T VYAZINDULIWA KWA STYLE YA AINA YAKE JIJINI DAR.

Afisa mnadhimu wa Jeshi la Polisi Nchini,  Kamishna Mwandamizi wa Polisi Fortunatus Musilimu akiwakabidhi Oil za Total 4T madereva bodaboda mara baada ya uzinduzi rasmi wa vilainishi hivyo. Hafla ya Uzinduzi ilifanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es Salaam.
Afisa mnadhimu wa Jeshi la Polisi Nchini, KamishnaMwandamiziwaPolisiFortunatus Musilimu akiwakabidhi Kofia maalumu za kuendeshea Pikipiki (Helmeti) madereva bodaboda mara baada ya uzinduzi rasmi wa vilainishi vya Tatal 4T. Hafla ya Uzinduzi ilifanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es Salaam.
Afsa mnadhimu wa Jeshi la PolisiNchini, Kamishna Mwandamizi wa Polisi Fortunatus Musilimu akiwa kwenye picha ya pamoja na madereva Bodabodamara baada ya uzinduzi wa vilainishi maalumu vya Pikipiki na bajaji vya Tatal 4T. Hafla ya Uzinduzi ilifanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es Salaam.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.