Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela amezungumza na Jembe Fm katika kipindi cha Kazi na Ngoma kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John pombe Joseph Magufuli ya Mkoani Mwanza ya Agosti 2016 katika mwendelezo wa ziara zake.
Unaweza Kubonyeza Audio Hapo Chini Kumsikiliza Mkuu wa Mkoa Huyo. (KITU NA BOX BOFYA)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.