Matumizi Ya Nguzo Za Umeme Toka Kwa Wawekezaji Wa Ndani.
Serikali imelitaka shirika la umeme nchini TANESCO kuacha kununua nguzo za umeme kutoka nje ya nchi badala yake zinunue nguzo hizo kutoka katika mashirika na wawekezaji waliopo nchini.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.