Wakati tukiendelea kutafakari kuhusu suala la bomoabomoa na tukipata machungu kwa kuilaumu serikali kuendesha zoezi hilo kwa kasi kama ya kukomoana, wengine wengi tukidhani kuwa mvua hizo hazitorejea mara baada ya jua kuchapa kinomanoma kwa siku kadhaa kiasi cha kuanza kuzibeza tabiri za Mamlaka ya hali ya hewa nchini zilizo tabiri Mvua kubwa za El-Nino kuwa zaja.
Eh bana eeeeh Mzigo ulioshuka leo jijini Mwanza sijui ni wa shilingi ngapi? Hapa ni katikati ya jiji maeneo ya karibu na soko kuuambako si bondeni na wala hapahusiki na bomoabomoa........
Haya salaam salaam kwa wenzangu nilowaacha bondeni....
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.