Miss Tanzania aiponza STANBIC. Lowassa aipa jeuri UKAWA, mameya Dar wakamilisha majibu ya Dk.Slaa kuhusu waziri huyo wa zamani. Urais Zanzibar waliponza Mawiwo, TMAA yanasa madini uwanja wa JNIA.Bavicha wamtega jaji Mutungi. Machungu rungu la Magufuli yaanza. Matokeo kidato cha pili yaibua mapya.Kubenea apania kufufua sakata la Escrow.
Ndemanga Aipongeza ADEM kwa Kuandaa Marathon
-
MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga, amewapongeza Wakala wa
Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) kwa kuratibu na kushiriki kikamilifu
mbio za marat...
Unaweza kuzitambua video zilizotengenezwa kwa AI?
-
Mojawapo ya ishara za wazi ni pale unapoona video yenye ubora hafifu iwe
yenye ukungu, au ukijani hilo linapaswa kukupa tahadhari kwamba huenda
unatazama v...
0 comments:
Post a Comment