Mke wa mbunge wa jimbo la Kibaha mjini mama Selina Koka wa katikati akimkabidhi zawadi yakitita cha shilingi laki tatu naodha wa timu ya soka ya Vinyozi FC Kaiko Kantimbo wa kulia baada ya kuibuka mabingwa katika michuano ya kombe la koka cup ngazi ya kata ya maili moja kushoto ni msanii wa muziki wa kizazi kipya Hussen Machozi, mchezo huo ulimalizika kwa Vinyozi Fc kushindakwa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao timu ya boda boda FC.(Picha na Victor Masangu)
0 comments:
Post a Comment