Barnaba ameingia katika list ya wasanii wakubwa walioshiriki katika kazi za wasanii wengine na ndiye msanii anayeongoza kusaidia wasanii wanaochipukia katika muziki wa Bongo Fleva kwa mwaka 2015.
Safari hii Barnaba anasikika kwenye kiitikio cha wimbo mpya kabisa wa Hip Hop alioshirikiswa na Wiz Tayson kutoka Maskan ya B.O.B Click.
Wiz Tayson wimbo wake mpya huu ameupatia jina la SIJUTII alioufanyia katika studio za Kir record chini ya muandaaji Rash Don.
Sijutii Wiz anazungumzia maisha ya watu wengi na magumu tunayoyapitia katika maisha ya kiTanzania pia anasikika Barnaba akisema kwenye maisha ukianguka nyanyuka na tujifunze kuweka akiba
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.