ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, April 27, 2015

YANGA BINGWA 2014-2015

Yanga imetangazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa soka Ligi kuu ya Tanzania Bara 2014-2015 baada ya kuifunga leo Polisi ya Morogoro mabao 4-1 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.