![]() |
| Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matine akimpongeza Bi Ajara Kokupima Saidi baada ya kusaini fomu za makabidhiano ya gari. |
![]() |
| Ajara Kokupima Saidi akikabidhiwa kadi yake ya gari mara baada ya ushindi wake katika promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi. |
![]() |
| Afisa masoko ya Airtel kanda ya Ziwa Bwana Emmanuel Raphael akifafanua jinsi wananchi wanavyonufaika na huduma bora za Airtel. |
![]() |
| Katibu tawala wa wilaya ya bukoba mjin na vijijini Bwana Celement Ndyamukama. |
![]() |
| mshindi wa promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi Bi Ajara Kokupima Saidi, Mkulima na mkazi wa kata ya Ibwera alikuwa na shairi maalum kwa Airtel. |
![]() |
| Mshindi wa promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi Bi Ajara Kokupima Saidi, Mkulima na mkazi wa kata ya Ibwera akisakata ngoma ya nyumbani ya watu wa kabila lake (wahaya). |
![]() |
| Familia ndugu jamaa na marafiki nao waliungana naye. |
![]() |
| Hatimaye tulifika nyumbani kwa mshini. |
![]() |
| Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matine akimpongeza Bi Ajara Kokupima Saidi baada ya kumkabithi gari nyumbani kwake. |
Tupe maoni yako














0 comments:
Post a Comment