Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti, lijulikanalo kama "MTOKO WA MBUGANI" Bw. Hassan Mfaume, akisaini mkataba wake na kampuni ya bia ya Serengeti.Katikati ni meneja wa bia chapa ya Serengeti Bw.Rugambo Rodney na kushoto ni Meneja wa Serengeti kanda ya Dar es Salaam,Malalia Mmassy. Mkutano ulifanyika makao makuu ya kampuni hiyo-Chan'ombe jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Serengeti kanda ya Dar es Salaam,Malalia Mmassy akisaini mkataba wa mshindi wa shindano la Tutoke na Serengeti, ambapo mshindi huyo anatarajia kusafiri hivi karibuni, Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti, la kwenda kutalii kwenye mbuga za wanyama , Bw.Hassan Mfaume, Meneja wa bia chapa ya Serengeti,Rugambo Rodney
Meneja wa bia chapa ya Serengeti,Rugambo Rodney akimkabidhi mkataba Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti, la kwenda mbuga za wanyama , Hassan Mfaume,katikati ni meneja wa Serengeti kanda ya Dar es Salaam,Malalia Mmassy. Mkutano huo ulifanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
KATIKA PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI DR KAMALA
-
Ni Simanzi kubwa mapokezi ya Mwili wa Balozi Kamala
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto Siima amewaongoza wananchi katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.