![]() |
| Naikaribisha asubuhi na kitu cha kitumbua na chai ya rangi motooo... |
![]() |
| Mining'inio na jicho lionavyo toka dukani. |
![]() |
| Ze - Ujumbe |
![]() |
| ....Kupita kiasi..... |
![]() |
| Wakiibuka wale jamaa zetu wa njaro za usiku tutasema wamevunja mlango au wametegua mlango? Na mwenye mali atakwenda kuripoti polisi kwamba kavunjiwa duka au ama nini....? |
![]() |
| Ze hausi...!!! |
![]() |
| Hatariiii... |
![]() |
| Hoteli ndogondogo. |
![]() |
| Ze porakoto-pompo sevisi....! |
![]() |
| Kijana mchapa kazi. |
Tupe maoni yako










0 comments:
Post a Comment