![]() |
| Bwana harusi (katikati) na kamati ya vinywaji..ilikuwa ni ijumaa ya 24 juni 2013 Mission Kirumba jijini Mwanza. |
![]() |
| Majirani wakipata chakula cha jioni kuweka mikakati ya jinsi watakavyoshiriki siku inayofuata ya harusi ya Robert na Sophia. |
![]() |
| Weeeh....Bwana harusi na walinzi wake. |
![]() |
| Mama mzazi (Kushoto) na mama wadogo wa Robert Kitila. |
![]() |
| Wandugu na jamaa. |
![]() |
| Wazazi wa Bwana harusi wakijadili yao. |
![]() |
| Kikao cha wanandugu. |
Tupe maoni yako







0 comments:
Post a Comment