![]() |
| Ni manjonjo ya mwanamuziki Saida Karoli kwenye Tamasha la Nani zaidi lililofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Shinyanga chini ya Tivoli Studio ya Mwanza. |
![]() |
| Hapa kulikuwa kukifanyika kitu ndiyo maana mashabiki macho yote mbele shugulini. |
![]() |
| Atomy Sifa supa staa wa Kenya anayeng'ara burdanini... |
![]() |
| Hapa ni mauno viuno balaaaa.... |
![]() |
| Gusa unate....na densa wa Atomy Sifa.. |
![]() |
| Na rabsha hazikukosekana...lakini usalama ulisimama imara. |
![]() |
| Mzuka wa Atomy Sifa. |
![]() |
| Akadanse ya Madensa wa Atomy Sifa. |
![]() |
| Oyaaaa umekanyaga waya.... |
![]() |
| Utamu... |
![]() |
| Macho tukioni... |
![]() |
| Hapo sasa.... |
![]() |
| Bonge wa Clouds fm (kushoto) akiwa na moja ya Wadhamini wa Tamasha hilo toka Coca cola ambalo liliandaliwa na Tivoli Studio ya jijini Mwanza. |
![]() |
| We. |
Tupe maoni yako














0 comments:
Post a Comment