MISA YA SHUKRANI
Familia ya Marehemu Mzee Pastory Bahati Mulyachuga wa Bugarika Mwanza inapenda kuwaalika ndugu, jamaa na marafiki katika misa ya shukrani ya marehemu mama yetu mpendwa Laurencia B. Mulyachuga ambaye alifariki tarehe 02.02.2013 na kuzikwa tarehe 04.02.2013 itakayofanyika katika kanisa la kigango cha Bugarika Parokia ya Bugando siku ya jumatatu ya tarehe 18.03.2013 saa 10:00 jioni na baadae watu wote kujumuika nyumbani kwa Mzee Bahati.
Wote mnakaribishwa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.